Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ilivo hapo juu,nimesoma Engineering,nafuta kufundisha kwa part time shule yyte hapa mjini DAR..masomo ninayofundisha ni PHYSICS,MATHEMATICS,CHEMISTRY
Siyo hivyo mkuu hiyo pia ni njia ya kujiongezea kipato ndiyo maana kaomba part time na siyo full time.Duh engeneering nayo imeshakua ka socialogy..???mkuu ungesoma ualimu tu
duuuuuuuh mpaka nyie mnaomba ualimu, kweli hali mbaya sana nchinini kweli watu wanaleta ushabiki tu....................mi nataka nifanye kile nilichotumwana na mungu duniani,nilienda engineering kwa sababu nilifaulu na mfumo ukanilzimisha!!!