Natafuta kazi ya kufundisha somo la chemistry

Natafuta kazi ya kufundisha somo la chemistry

kikule

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Posts
217
Reaction score
56
Mimi ni mwalimu mahiri wa chemistry na nina uzoefu wa kutosha katika kufundisha chemistry a-level na o-level,nipo dar es salaam napenda nifundishe shule za dar es salaam
mawasiliano
0717116019
 
Naona jina lako linataka kufanana na mtaala wa zamani aliyegundua Benzene Structure mzee KEKULE. Sina uhakika kama unaweza kufuata nyayo zake. Kila lakheri kwenye kutafuta ajira.
 
teh nenda baptist sec wanashida na mwalimu huyo,tembelea shule mbali mbali uulizie badala ya kuja humu tu,mbona wewe uu hot cake?
 
Back
Top Bottom