wakuu habari zenu. mimi ni mhitimu wa shahada ya Elimu mwaka 2013 nimespcialize hesabu. kama kuna shule binafsi wanahitaji Mwl mweye sifa kama zangu tuwasiliane inbox. nipo tiyari kuweka mkataba wa miaka mitano. nimechoshwa na ahadi za ajira mpya.
Hahahahahaa, kiukweli hawa watu wa serikali wanaudhi sana na mbaya zaidi wanafaidisha watu wenye shule binafsi na kuwaacha watoto wa st. Kayumba wakiwa hawana walim wakutosha.
Mi mwenyewe mwezi huu ukipita patupu naweza kutokomea private maana haiwezekani mimi nnaeweza fundisha Chemistry and Biology nkaendelea kutaabika na familia inanitegemea.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.