umemaliza masomo gani mkuu...Mie ni msomi ambae nimehitimu masomo na nipo kusubiri nafasi za kazi ambazo nimeomba maeneo mbali mbali. Hata hivo nilipenda sana niweze kujiajiri. Naomba mawazo yenu wapi pa kuanzia? Sina mtaji wowote na nahitaji na kupenda pia niweze pata mtaji walau hata kidogo wa kujiajiri. Ni namna gani naweza pata mtaji wadau? Natanguliza Shukrani.
Mie ni msomi ambae nimehitimu masomo na nipo kusubiri nafasi za kazi ambazo nimeomba maeneo mbali mbali. Hata hivo nilipenda sana niweze kujiajiri. Naomba mawazo yenu wapi pa kuanzia?
Sina mtaji wowote na nahitaji na kupenda pia niweze pata mtaji walau hata kidogo wa kujiajiri. Ni namna gani naweza pata mtaji wadau?
Natanguliza Shukrani.
Tuwasiliane mkuu nitakuelekeza cha kufanya. Unaweza kuniandikia kwa email healthwealthfirst@gmail.com
Mwenzako anatafuta kazi, we unataka umtongoze cjui!.Ni pm tuongee