jamani mimi ni mwanafunzi wa udom nataraji kumaliza mitihani yangu wiki hii naomba kwa yoyote atakayeweza kunisaidia kupata kazi ya kujitolea mwezi wa 7 katikati hadi wa kumi anisaidie.ili niweze kupata uzoefu hasa kwenye maswala ya utawala,itifaki,na na organizations naweza kuzungumza kiingereza kiswahili na kifaransa