Natafuta kazi ya kujitolea mimi ni Mwalimu wa Biology na Geography

Natafuta kazi ya kujitolea mimi ni Mwalimu wa Biology na Geography

Nanda kaonane na mwalimu mkuu wa shule uliyokaribu nayo....mtaani kwako
 
Harafu haya mambo yakuulizana uzoefu ni kama kumchosha mtu anaetafuta kazi, hivi mtu amesoma mpaka chuo kikuu bado anahitaji experience ya kazi? Hizo field alizokuwa anafanya kazi pindi akiwa kwenye masomo zilikuwa zinamaanisha nini?
Una uzoefu wa muda gani ?
 
Back
Top Bottom