Natafuta kazi ya kununua jamani(kwa moshi)

Nenda UVCCM..kuna kazi ya kugawa fedha za rushwa..wewe c muhasibu..
 
nashkuru kwa ushauri nimeshapambana mno kila mahali hata kuvolunteer imekuwa shida naishia kupewa ahadi tu
 

umeninukuu vibaya! Sijasema moshi hakuna hayo usemayo ila somhw soko liko saturated na hakuna chanc ya ajira mpya kivile. I know the place and the situatn there in thats why nikampa idea ya kuwiden search area yake.
 
Last edited by a moderator:
well said,naunga hoja.......nina wasiwasi na nicnic,u haven't tried enough,try HARDER
umeninukuu vibaya! Sijasema moshi hakuna hayo usemayo ila somhw soko liko saturated na hakuna chanc ya ajira mpya kivile. I know the place and the situatn there in thats why nikampa idea ya kuwiden search area yake.
 
Last edited by a moderator:
ongeza mtaji huo boss fikisha laki 8 njoo migodini geita uku nikupe mchongo
 
Ongeza kisomo Mkuu, diploma ni qualification ya chini sana
 
kama una million tano mi ntakupatia kazi. so kuwa serious. hivyo vijilakh unataka kazi gani? kuzoa taka???? acha masikhara bwana. na hiyo course ya rushwa alikufundisha mkufunzi gani? maana hiyo naona watu wengine wanaipenda na kuitumia. we lete 5,000,000. mi nakupatia kazi nzuri tu ya maana ila kwa laki mbili utapata kazi ya kuzoa ....tuwasiliane kaka. na ukipata kwa pesa hiyo pia nijulishe maana hao watakaokupa watakuwa wanatuharibia soko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…