Natafuta kazi ya kusimamia Famasi mkoani Morogoro

Natafuta kazi ya kusimamia Famasi mkoani Morogoro

kiboy

Member
Joined
Jul 18, 2021
Posts
7
Reaction score
3
Mimi ni mfamasia nipo Morogoro, nahitaji kupata famasi ya kusimamia ndani ya Morogoro.

Mawasiliano: 0768320534
 
jamani bado natafuta...anayehitaji tuwasiliane
 
bado natafuta famasi ya kusimamia morogoro
 
Aliyazisha kweli asiweze kusimamia au Mimi sijakuelewa haya Mambo alishasema mbunge wakahama wanasoma ugavi anaenda kununua nn
 
Aliyazisha kweli asiweze kusimamia au Mimi sijakuelewa haya Mambo alishasema mbunge wakahama wanasoma ugavi anaenda kununua nn
namaanisha kuweka leseni yangu ya ufamasia kuendesha biashara ya famasi
 
Mimi ni mfamasia nipo Morogoro, nahitaji kupata famasi ya kusimamia ndani ya Morogoro.

Mawasiliano: 0768320534
no:0762619116 mwenye namba hii ameandika thread anatafuta mfamasia mtafute
 
Back
Top Bottom