Natafuta kazi ya kusimamia shamba/ kiwanja/ nyumba

Natafuta kazi ya kusimamia shamba/ kiwanja/ nyumba

Bakalalwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2024
Posts
748
Reaction score
1,217
Habari zenu kwa mara nyingine tena ndugu zangu wa JamiiForums wote mko salama salimini.

Naitwa bina nina

Miakai: 29
Elimu: 7
Jinsia: Mwanaume

Natafuta kazi ya kusimamia shamba, kiwanja au Nyumba vyote kwa pamoja ikiwemo kuvifanyia usafi na utunzaji na kwa mkoani mbali na nilipo mimi nakuja kusimamia kuhusu mshahara ni makubalino na wewe mwajiri wangu Nina uzoefu wa mwaka 1 mmoja.



Asanteni sana
 
Ndugu zangu nipo nawasubiri mniajiri cv yangu ndo hiyo wakuu
 
Ninajisemea Mimi kwangu, ninapoajiriwa kusimamia, kiwanja shamba , au Nyumba Sina mkono au chochote kile basi tu sijui niseme nielezeje!? Wadau kaka/dada zangu naomba mniajiri,
 
Back
Top Bottom