Wadau wa JF, natafuta kazi ya part time as Communication Liaison officer au instructor ktk fani ya mawasiliano kwa umma au uandishi wa habari ktk chuo chochote jijini dar au mikoa iliyo karibu na dar. Masuala mengine ni baada ya mawasiliano kufanyika.