Natafuta kazi ya Sales au Viwandani

Natafuta kazi ya Sales au Viwandani

Umesema sales, ndo unataka ujifunze au una uzoefu na kazi hiyo ? Andika wasifu mzurii na kuvutia wahitaji waone una kitu!

Kila la khery
 
Elimu Yako ,Ujuzi Wako Pia Unauzoefu na iyo Kazi. Jitahidi kuongeza Vimaneno kidogo Ueleweke.
 
Nipo na Uzoefu wa Sales for 2 years
Nanipo na utayri wa kujifunza pale itakapohitajika kuongeza ujuzi mwengine Nimemaliza kidato cha sita Mchepuo wa Economics sikufanikiwa kuendelea na chuo kutokana na hali za Wazee nyumbani nikajishughulisha na maswala ya sales
 
Elimu Kidato cha Sita nimemaliza Since 2021 sikufanikiwa kuendelea na elimu ya juu kutokana na hali ya wazee wangu nyumbani nikajishughulisha na mswala ya sales kwahiyo nipo apa kuomba au kutafuta kazi yenye itanifanya niweze kukizi majukumu angu iwe ssales supermarket dukani hotelini au hata viwandani asante
 
Ok edit pale mwanzoni sasa ili waajiri wakuone,

Ikawe khery mkuu
 
Elimu Kidato cha Sita nimemaliza Since 2021 sikufanikiwa kuendelea na elimu ya juu kutokana na hali ya wazee wangu nyumbani nikajishughulisha na mswala ya sales kwahiyo nipo apa kuomba au kutafuta kazi yenye itanifanya niweze kukizi majukumu angu iwe ssales supermarket dukani hotelini au hata viwandani asante
Utapata, naamini. Kila lakheri. Option nyingine jaribu kusoma diploma siku hizi wanatoa mikopo.
 
Back
Top Bottom