Natafuta kazi ya stationary.

Natafuta kazi ya stationary.

georgei

Senior Member
Joined
Oct 14, 2009
Posts
110
Reaction score
8
....Mdogo wangu[wa kike],amemaliza form four,amesoma short course ya computer,anatafuta kazi ya stationary.Kama kuna mtu anastationary au anamfaham mtu anaehitaji mfanyakazi wa aina hii tafadhali naombeni msaada wenu
call me 0712 13 41 81
 
Kazi ya stationary ndio ipi iyo mkuuu
 
Kazi ya stationary ndio ipi iyo mkuuu

Kazi ya kutype,piga photocopy,wengine wanahuduma ya kupiga picha pia,kuscann na mengine mengi kulingana na matakwa ya BOSS
 
kama yupo na spid ya kutosha na yuko tayari kufanyia kazi Mwanza, ni pm
 
Back
Top Bottom