....Mdogo wangu[wa kike],amemaliza form four,amesoma short course ya computer,anatafuta kazi ya stationary.Kama kuna mtu anastationary au anamfaham mtu anaehitaji mfanyakazi wa aina hii tafadhali naombeni msaada wenu
call me 0712 13 41 81
Kuna jamaa alianzisha uzi hapa anataka mtu ka huyo huko Arusha fata hapa https://www.jamiiforums.com/nafasi-...nahitajika-msichana-wa-stationery-arusha.html good luck mdau
Mkuu huo uzi niliuona,sorry sikukamilisha taarifa...Kazi ya hapa Dar!!!