Natafuta kazi ya system admin or database admin

Natafuta kazi ya system admin or database admin

Mwam

New Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
3
Reaction score
0
Hi wakubwa nimemaliza Comp Sc kamwaka jana badi nahaso kama vipi tusaidiane kwa hili
 
St John university wametoa nafasi za kazi omba
Ninafikir ungefanya vema kama ungeweza kumpatia namna aombe kwa sababu hapa hujamwelekeza hiyo st John iko wapi na hizo nafasi zimetangazwa lini.

Japo sikumbuki kuona nafsi ya hiyo kazi, lakini gazeti la mwananchi la jana trh 19/09 lilikuwa na tangazo la kazi st john
 
Back
Top Bottom