Natafuta kazi ya ualimu mkoa wa singida

Natafuta kazi ya ualimu mkoa wa singida

KANCHI

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2011
Posts
1,532
Reaction score
230
Mimi nina bachelor of science with education (chem & bios) nahitaji kufundisha Serikali inazingua bana.
 
kaka peleka maombi chuo cha ualimu singida/singida secondary kule ginnery jamaa naskia wanaalipa vzr sana.. Ila wanaprefer permanent
 
kaka peleka maombi chuo cha ualimu singida/singida secondary kule ginnery jamaa naskia wanaalipa vzr sana.. Ila wanaprefer permanent

Shukuran mkuu ngoja nijaribu.
 
Back
Top Bottom