Natafuta kazi ya Ualimu. Nafundisha Chemistry na Mathematics

Natafuta kazi ya Ualimu. Nafundisha Chemistry na Mathematics

Anastazia Joseph

New Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
2
Reaction score
3
Mimi ni mwalimu wa Chemistry na Mathematics nimemaliza chuo Cha Ualimu tukuyu mwezi wa tano mwaka huu(2022).

Natafuta kazi naweza kufundisha na ninajituma pia.

Kwa mawasiliano 0757921398, napatikana Tabora mtaa wa mwinyi lakini naweza kufanya kazi popote nchini Tanzania.
 
Mimi ni mwalimu wa Chemistry na Mathematics nimemaliza chuo Cha ualimu tukuyu mwezi wa tano mwaka huu(2022).

Natafuta kazi naweza kufundisha na ninajituma pia.

Kwa mawasiliano 0757921398, napatikana Tabora mtaa wa mwinyi lakini naweza kufanya kazi popote nchini Tanzania.
Jiunge kwenye group la telegram HR,zimejaa ni nyingi huko ajira za kada yako,Tena nmeona Kwa malipo ya shilingi laki 4 na stahiki nyingine.
 
Pitia hapo mkuu[emoji116][emoji116]
JamiiForums375101822.jpg
 
Back
Top Bottom