OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 434
kama aujasoma udom ni pm
kama aujasoma udom ni pm
kama aujasoma udom ni pm
sijasoma udom,ila hii propaganda ya kuwa udom hawatoi watu compitent ni kuchafuliana..mimi siipendi kwa kweli.
unawaonea huruma kwa vile mnasota wote mtaani?
mwl unataka shule za private sio??
haya andaa CV yako na barua yako peleka pale barbo johanson mapema next wk, pia pelaka na pal almuntazir girls seminary unaweza ukabahatika. but mm kwa mtazamo wangu ni bora kuomba na serikalin tu ni afadhali kuliko private
hiyo shule ya BARBO JOHANSON IKO WAPI?
kama aujasoma udom ni pm
unawaonea huruma kwa vile mnasota wote mtaani?
ebo,,,,!!
Ina maana huna huruma na hawa nduguzo hata chembe??
gpa 3.5 mkuu
jamani msaada basi wapi nitapata hiyo kazi ya ualimu?nina
3.5 GPA