Natafuta kazi ya ualimu

Natafuta kazi ya ualimu

Kashindi

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2011
Posts
349
Reaction score
250
Wadau habari za maandalizi ya kuupokea mwaka mpya
mimi ni mhitimu wa shahada ya ualimu (Ba.Ed 2014) chuo kikuu cha Dar es salaam, masomo ya Geography na language, ninatafuta kazi ya kufundisha shule za secondary na hata pia toition centres na watu binafsi katika masomo hayo na pia katika masomo ya civics na history..nina jiamini kuwa nina uwezo mzuri wa kufundisha na mtu akanielewa vizuri..
Kwa mtu yeyote ambaye yuko interested na mwalimu wa masomo hayo anaweza ni PM na pia naamini jamiiforums' member mnaweza kunisaidia nipate shule ya kufundisha..
asanteni wakuu
 
Anza mapema kufight maana escrow imeipukutisha serikali pesa yoote, direct employment nadhan haipo tena
 
Back
Top Bottom