moyo wenye aman i Senior Member Joined Nov 12, 2019 Posts 177 Reaction score 297 Jun 19, 2023 #1 Salam sana. Rejea kichwa tajwa juu. Nimekuwa mhariri wa kituo cha redio hapa kanda ya kasikazini kikubwa tu kwa mda mrefu sana ila nimechoka kukaa ndani natamani kutoka nje mwenye msaada tafadhari fanya kitu (mimi ni ke 28 years) Be blessed.
Salam sana. Rejea kichwa tajwa juu. Nimekuwa mhariri wa kituo cha redio hapa kanda ya kasikazini kikubwa tu kwa mda mrefu sana ila nimechoka kukaa ndani natamani kutoka nje mwenye msaada tafadhari fanya kitu (mimi ni ke 28 years) Be blessed.