Habari waugwana,mimi ni Clicical Officer,Tabibu,kwa sasa niko Hubert Kairuki Memorial University natarajia kuingia mwaka wa nne October 2010,nachukua first degree ya medicine.
natafuta kazi part time,waungwana kama kuna channel zozote naomba mnifahamishe kupitia peteralexus@yahoo.com au 0715 668248,0786 668248