Natafuta kazi ya udereva wa bodaboda

Natafuta kazi ya udereva wa bodaboda

X_Killer

Member
Joined
May 30, 2020
Posts
29
Reaction score
71
Habari ndugu zangu Mabibi na mabwana napenda kuwasalimu wakubwa na wadogo, Lengo la Ujumbe huu ni kuomba kwa yeyote ( MWENYE PIKIPIKI YA MKATABA/ HESABU ) nipo tayari kufanya kazi nina patikana Ubungo River side Licence number ( D ), Natanguliza shukrani na Muenyezi mungu awabaliki.🙏
 
Wanasemaga ukitaka kufilisika nchi hii basi mwamini kijana kwenye biashara yako umwachia

Unalizungumziaje hili dear job seeker kwa upande wako?

Kwanini mtu akupe bodaboda yake??

Lete CV yako inayoonesha achievements zako zinayotokana na udereva bodaboda wako huko nyuma
 
Asante sana ndugu Bilar Binafsi iyo ni imani yako inaweza kuwa sahihi ama potofu kwa upande wako, nakutolea mfano kama Bakhresa kaajili Vijana na ndio wanamuongezea Kipato zaidi na anazidi kutajilika uku wewe ukiwa mmojawao unae tumia Bidhaa zake kwa shida zako binafsi, kwaiyo nakanusha juu ya mawazo yako.
 
Kwanini uingie kwenye post ya mtu na kucomment vitu negativity kuonesha ufahari kuwa na wewe una miliki chombo cha moto hali ya kwamba huna msaada na aliyeomba.

Hii ilinikuta jamaa yupo humu hana lolote ila kujifaharisha kila post ikitumwa kwenye comment anaandika as if yeye ni Boss kumbe kuja kumfahamu ni kapuku wa kutupwa anaishi kwa mama yake.

Usikate tamaa kaka utapata tu mmiliki wa chombo na mtaelewana.
 
Habari ndugu zangu Mabibi na mabwana napenda kuwasalimu wakubwa na wadogo, Lengo la Ujumbe huu ni kuomba kwa yeyote ( MWENYE PIKIPIKI YA MKATABA/ HESABU ) nipo tayari kufanya kazi nina patikana Ubungo River side Licence number ( D ), Natanguliza shukrani na Muenyezi mungu awabaliki.🙏
muhimu leseni yako iwe na A, A1
 
Back
Top Bottom