tanzania kwetu
New Member
- Apr 17, 2012
- 3
- 0
Ebwana poa ntajaribu kwenda,ndo nililojifunzia kaka!Ungeweza kuja hapa A town nenda moja kwa moja pale A to Z kwenye ile kiwanda cha mafisadi ukapewe lori aina ya Leyland Daf CTnew model pulling naoina inawaajiria madereva kweli kweli!
Ungeweza kuja hapa A town nenda moja kwa moja pale A to Z kwenye ile kiwanda cha mafisadi ukapewe lori aina ya Leyland Daf CTnew model pulling naoina inawaajiria madereva kweli kweli!
Leseni klasi
A=bodaboda
D=home car,tafuta familia uwe unawapela watoto shule, hasa familia za kihind, waswahil wanawapeleka wenyewe.
E=tractor, nenda kwenye mashamba ya miwa, mahindi
kama E ni tractor maroli yatakua na daraja lipi la lesen wewe sio dereva acha kukurupuka
ma Lori kwa uelewa wangu ni class L