Natafuta kazi ya udereva

Natafuta kazi ya udereva

Isaak

Member
Joined
Oct 16, 2020
Posts
8
Reaction score
2
Husika na kichwa cha habari hapo juu,heshima zenu wote poleni na majukumu ya hapa na pale.

Natafuta gari hesabu /mkataba Uber/Bolt/Ping/ hata kumuendesha mtu binafsi /kampuni napatikana Dar es Salaam vigezo vyote ninavyo pamoja na vyeti vya ufundi.

Nitashukuru kama nitasaidiwa 0716-326162

Asanteni ya kila la kheri.
 
Hizo kaz hakuna tena tafuta kaz nyingne ya udereva tofaut na hizo kaz
Duu kazi zipo nazinapatikana kila mtu na bahati yake if ww hujapata usimvunje moyo mtu mwingine hakuna kazi inayoisha ingekuwa hvyo wauza mananasi wasingeuza
 
Back
Top Bottom