Natafuta kazi ya udereva

Natafuta kazi ya udereva

Mzelela Ally

New Member
Joined
Jul 18, 2024
Posts
1
Reaction score
1
Habari za mida wakubwa zangu!

Naitwa Mzelela Ally, nina miaka 25 ni dereva na nimesomea VETA pamoja na N.I.T. course ya Public Service Vehicle na nina lesen Class A, B, D, C1, E pia nina uzoefu wa miaka mitano hadi sasa.

Naomba kwa atakaekuwa na tenda za ajira ya udereva wa makampuni, binafsi au hata kwenye mashirika basi akawe msaada kwangu. Lengo tu ni kupambana na hali ya maisha bila ajira. Elimu yangu nimeishia Kidato cha nne na nina PASS 4.

Kwa atakaye vutiwa kunisaidia naomba tuwasiliane wakubwa!
 
Back
Top Bottom