Mussa salumu
Member
- Feb 23, 2012
- 10
- 0
Mm ni fundi bomba mzoefu nimeshafanya kazi dar na njee ya dar pia kwenye kampuni na hotel kazi yangu ni kufanya fiting,kufunga vitu mf. choo,besen, hitter,mirror,jakuzi cubic n.k pia dreneji naweka namba yangu zangu ni 0713422764 na 0759422764 pia napatikana facebook kwa account zifuatazo (bakari mussa mkumba na mussa salumu)