Natafuta kazi ya ufundi bomba

Mussa salumu

Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
10
Reaction score
0
Mm ni fundi bomba mzoefu nimeshafanya kazi dar na njee ya dar pia kwenye kampuni na hotel kazi yangu ni kufanya fiting,kufunga vitu mf. choo,besen, hitter,mirror,jakuzi cubic n.k pia dreneji naweka namba yangu zangu ni 0713422764 na 0759422764 pia napatikana facebook kwa account zifuatazo (bakari mussa mkumba na mussa salumu)
 
Aisee!!sa tungejuaje kama na wewe uko fb.
 
Ni -Pm kuan kazi mahali nikuunganishie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…