mzungu jw JF-Expert Member Joined Feb 6, 2014 Posts 290 Reaction score 33 Mar 26, 2014 #1 nipo arusha natafuta kazi ya ufundi umeme au kama ww nifundi mwenye jina mjini au kampuni nipo tarayi kufanya kazi. elimu yangu ni 4m4 na elimu ya ufundi umeme veta daraja la 3(tatu) uzoefu wa kazi miaka 2 kama kishoka mjini
nipo arusha natafuta kazi ya ufundi umeme au kama ww nifundi mwenye jina mjini au kampuni nipo tarayi kufanya kazi. elimu yangu ni 4m4 na elimu ya ufundi umeme veta daraja la 3(tatu) uzoefu wa kazi miaka 2 kama kishoka mjini