mamabaraka
Member
- Oct 18, 2011
- 92
- 14
Accountant,then una miaka miwil mtaan huna kazi?
kipi kinachokushangaza?
Kwanza nina mashaka na elimu unayopata hapo udsm wewe senetor,inaonekana walimu wako wana kaz sana,amekuambia ana uzoefu wa miaka 2 na sio hana kazi kwa mda wa miaka 2,kuwa muelewa! Nina waswas kama ile supp yako umechomoa
wana jf, natafta kazi tajwa hapo juu, ninao uzoefu wa usimamizi wa miradi na afisa mikopo kwa miaka miwili, elimu yangu ni advance diploma ya uhasibu, ninao uwezo wa kuongea kiswahili na kiingereza vizuri.Pia binafsi ni mchapakazi mzuri sana, Kwa muajiri anayetafuta watu wa fani yangu tuwasiliane kwa motherofjolly@yahoo.com nimtumie Cv yangu na vyeti. asante sana.
sa miaka miwil ya uzoefu si ndio tuseme tu hana kazi inayoeleweka,labda alikua anavolunteer au anafanya kama part time?
dah huyu senetor bana cjui, ni mtu wa aina gani, mi nlishamwambia anaipenda elimu lakn elimu haimpendi. Vi2 vingne c lazma uchangie unavipotezea tu coz hujui na hutaweza vijua kwa muda huuKwanza nina mashaka na elimu unayopata hapo udsm wewe senetor,inaonekana walimu wako wana kaz sana,amekuambia ana uzoefu wa miaka 2 na sio hana kazi kwa mda wa miaka 2,kuwa muelewa! Nina waswas kama ile supp yako umechomoa
Kumbe huku udini umetawala? Hii ndio Tanzania tunayoitakaKama ww ni Mkristu wa RC Mkombozi Commercial Bank wametoa kazi unazozihitaji
Kumbe huku udini umetawala? Hii ndio Tanzania tunayoitaka
wana jf, natafta kazi tajwa hapo juu, ninao uzoefu wa usimamizi wa miradi na afisa mikopo kwa miaka miwili, elimu yangu ni advance diploma ya uhasibu, ninao uwezo wa kuongea kiswahili na kiingereza vizuri.Pia binafsi ni mchapakazi mzuri sana, Kwa muajiri anayetafuta watu wa fani yangu tuwasiliane kwa motherofjolly@yahoo.com nimtumie Cv yangu na vyeti. asante sana.
tatizo la siku hizi wahasibu tumejaa. hivi vyuo ss lazima viangalie background ya mtu yaani kama ulisoma science o level na advance wasikukuchukue katika masomo haya. hivyo wliosoma eca advance ndiyo wangesomea uhasibu. MINADHANI WAHASIBU TUNGEKUWA WACHACHE. lakini kwa hali hii ya ss KAZI IPO
Kijana usirudie tena kauli ya kujiita muhasibu(ACCOUNTANT) wewe ni karani wahasibu ni wale wenye CPA! Kwa taarifa yako Tanzania mpaka sasa ina wahasibu 3200 tu!
Watu wana madongo kijana endelea kusaka ajila ila kuna projects kama mbili ivi uku kusini kama zikitick ntakustua
Ila check via emplyoment agencies unaweza daka ajira
wewe ni among great thinker aise! Karibu sana JamviniKijana usirudie tena kauli ya kujiita muhasibu(ACCOUNTANT) wewe ni karani wahasibu ni wale wenye CPA! Kwa taarifa yako Tanzania mpaka sasa ina wahasibu 3200 tu!