bachelor of education we ni mwalimu sio mhasibuHabari Wana JamiiForums Mimi ni mkazi wa Dar es salaam ila kwa Sasa naishi Tunduma.
Natafuta KAZI YOYOTE katika taasisi binafsi mfano shule,kampuni ya mabasi,clearing & forwarding company na hata Usimamizi wa biashara.Elimu yangu ni UHASIBU yaani Nina Bachelor of education in Commerce and Accountancy lkn pia Nina Diploma in Accountancy
Mawasiliano 0699584411
Hahaha usomi wa siku hizi inamaana hata yeye mwenyewe hajijui ni nani kwa miaka 3 yote chuonibachelor of education we ni mwalimu sio mhasibu
We umepuyanga na hio Degree yako Yan. Inshort unapoomb kazi ya Uhasibu usiambatanishe hik Chet chako cha Degree. Na unapoomb kaz ya ualimu usiambatanishe hiko Chet chako Ch diploma yaan Waajiri watashindw kukuelew ukiwek vyot Bora uweke kimoja ijulikane km ni mwalim mwalim na Kam ni mwasib bas mwasibUnapaswa kwanza kujua mhasibu ni nani? Hapo Kuna Diploma ya Accountancy na Degree ya education in Commerce and Accountancy.Husichukulie TU neno Education TU hata Mwalimu naye ni Mhasibu Bro
Asante mkuu kweli nimepuyanga ila ongera wewe MsomiWe umepuyanga na hio Degree yako Yan. Inshort unapoomb kazi ya Uhasibu usiambatanishe hik Chet chako cha Degree. Na unapoomb kaz ya ualimu usiambatanishe hiko Chet chako Ch diploma yaan Waajiri watashindw kukuelew ukiwek vyot Bora uweke kimoja ijulikane km ni mwalim mwalim na Kam ni mwasib bas mwasib