Natafuta kazi ya Uhasibu

Natafuta kazi ya Uhasibu

Monetary doctor

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2022
Posts
3,711
Reaction score
6,762
Salaaaam wana JamiiForums

Habari wakuu nina uhitaji wa kazi au nafasi ya uhasibu..
  • Nimehitimu shahada ya bank na fedha kutoka IFM.. 2023
  • Nimefanya intern ya uhasibu, kwa miezi nane kwenye kampuni ya madawa hapa dar es salaam, hivyo nina ujuzi angalau wa kihasibu kwenye kampuni.
  • Kazi nilizokuwa nafanya ni :
  • Kuandaa invoice za wateja na kuzituma tayari kwa malipo
  • kuingiza voucher zinazohusika kwenye Accounting package ya Tally mfn payment voucher, sales voucher, contra voucher na receipt voucher
  • Kupokea order na kuziruhusu kwa maelekezo niliyopokea kwa mkurugenzi wa kampuni.
  • Kutuma ritani TRA pamoja na kushughulikia Mambo ya kikodi Kama Kodi ya zuio, na Kodi nyinginezo
  • Kufanya bank reconciliation kwa kutumia taarifa za kibenki
  • Kufanya kaguzi ya stocks,
Bidhaa zilizoingia, zilizouzwa na zilizopo,
  • Kuandaa taarifa za matumizi yanayohitajika na kampuni kwa kila mwezi na pindi itakapohitajika, mfn Kodi, ada za ulinzi, fedha za kutuma mizigo kwa wateja, na gharama za uagizaji wa mizigo China.
  • Kuomba TMDA IMPORT PERMIT ili kuruhusu mzigo uliopo bandarini uweze kutoka... Bidhaa ni madawa
  • Kushughulikia taarifa za clearing, ikiwa kupata taarifa kutoka kwa clearing Agent, kupokea documents za clearing, kuandaa barua kwa ajili ya kurahisisha utolewaji wa mzigo bandarini

NIMEJIFUNZA NINI
  • Utunzaji wa Muda.
  • kujifunza zaidi nje ya kile nilichosomea au kufanyia kazi, Kuna wakati nilifanya kazi za sales (mauzo) na kuwa tayari kujifunza pindi itakapohitajika kufanya hivyo.
  • Mawasiliano,
Namna ya kuwasiliana na viongozi mfn Mkurugenzi, wateja, wafanyakazi wenzangu na hata nilipokuwa kwenye ofisi zingine.

  • Kufanya kazi kwa bidii kunaletwa na ushirikiano kazini, utunzaji wa Muda, kufuata maadili ya kazi, mawasiliano yanafanya unakuwa katika sehemu sahihi

Mawasiliano yangu ni: Email Address genesisleons379@gmail.com
 
Upo wapi
 
Ipo sehemu gani tuichangamkie boss sababu mi pia nipo moshi pia ni muhasibu
 
Back
Top Bottom