Natafuta kazi ya ulinzi

Usichukulie poa kazi za ulinzi, kuna walinzi wametulinda kampuni yetu, Netpay wanalamba 560,000/= Tafuta makampuni makubwa ya ulinzi.
 
Karibu gardaworld zamani kk security, njoo tarehe 31 ya mwezi huu ofisi ya mwanza ipo karibu na kamanga fery, interview na mafunzo ni bure, hiyo hela ya udalali itunze ujiendeleze kielimu au ujuzi wa maisha, see you.
nakuona bw. ochanda katika ubora wako,
haha just kidding man
 
Unasema una miaka 23 na OP MAGUFULI. wakati Op Magufuli JKT waliingia 2016 mwishoni, tuseme basi 2017. Mpaka sasa ni miaka 8 imepita. Maana yake uliingia JKT ukiwa na miaka 15 au ndiyo tuache. Weka CV nzuri usaidiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…