Natafuta kazi yoyote hata ya kuwa counter bar

Natafuta kazi yoyote hata ya kuwa counter bar

coolgel

New Member
Joined
Jul 20, 2015
Posts
1
Reaction score
1
Habaro wanajamiiForums.

Nina bachelor ya sociology natafuta kazi yoyote hata ya kuwa counter bar ili niweze kulea watoto

Tafadhali Kama una connection, nipo Mbeya nisaidie
 
Hujaeleza vizuri wadhifa wako, kma upo serious nicheki pm
 
Je unaweza kwenda nje ya mkoaa wako ?
Nipo moroG kama uko tayari nazan PM utamalizia kila kitu
 
Back
Top Bottom