Natafuta kazi yoyote ile iliyo halali

Natafuta kazi yoyote ile iliyo halali

HAMESS

Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
16
Reaction score
21
Kwa majina naitwa Hamis Mahujaji Hamis mwenye umri wa miaka 24, mkazi wa mkoa wa Dar Es Salaam katika wilaya ya Kigamboni, piah ni muhitimu wa stashahada katika fani ya PROCUREMENT, LOGISTICS AND SUPPLY CHAIN MANAGEMENT, nilikuwa naomba kazi ya aina yoyote Ile inayoweza kunifaa ndugu mtaani ni pagumu.

Ahsanteni🙏🙏
 
Kwa majina naitwa Hamis Mahujaji Hamis mwenye umri wa miaka 24, mkazi wa mkoa wa Dar Es Salaam katika wilaya ya Kigamboni, piah ni muhitimu wa stashahada katika fani ya PROCUREMENT, LOGISTICS AND SUPPLY CHAIN MANAGEMENT, nilikuwa naomba kazi ya aina yoyote Ile inayoweza kunifaa ndugu mtaani ni pagumu
Ahsanteni🙏🙏
Pamoto..
Nikufundishe uwe winga kariakoo
 
Wewe ni miongoni mwa vijana wa hovyo mnajiita UVccm mlio jaza uwanja wa mkapa mkisema mama hanaupiga mwingi
 
Pole ndugu yangu. Nakuhurumia ingiwa majibu ya humu yamenifanya nicheke kwa sauti..
 
Wewe ni miongoni mwa vijana wa hovyo mnajiita UVccm mlio jaza uwanja wa mkapa mkisema mama hanaupiga mwingi
Dah!!! Mimi kaka sipo huko kabisa kwenye mambo ya siasa🙏🙏
 
Shuk
Pole ndugu yangu. Nakuhurumia ingiwa majibu ya humu yamenifanya nicheke kwa sauti.
Shukrani sana🙏🙏
Sikuzote kama hauna kitu na upo kwenye mapambano au kurupushani za kimaisha we shukua ushauri wote ndo hapo utapambanua lipi Zuri lakulifanyia kazi na kukichukua na lipi na kulipuuzia📌📌
 
Back
Top Bottom