Ms Beatrice
New Member
- May 22, 2021
- 4
- 5
That's true issue ni mtajiMnaosema ajiajiri Mtaji mnampa nyie??wengi hupenda kujiajiri tatizo mitaji!!!njoo PM nijibu kama unaweza kufanya kazi nje ya Arusha
Mnaosema ajiajiri Mtaji mnampa nyie??wengi hupenda kujiajiri tatizo mitaji!!!njoo PM nijibu kama unaweza kufanya kazi nje ya Arusha
Mnaosema ajiajiri Mtaji mnampa nyie??wengi hupenda kujiajiri tatizo mitaji!!!njoo PM nijibu kama unaweza kufanya kazi nje ya Arusha
AsanteKila la kheri Miss!
[emoji3516]Habari, Mimi ni Binti Nina miaka 24 Niko arusha. Ninatafuta Kazi. Niko tayari kufanya Kazi yoyote halali eneo la Arusha.
Nina elimu ya chuo kikuu, kupitia kozi ya maendeleo ya jamii.
Nina uwezo wa kuwasiliana vizuri, kufanya Kazi kwa usimamizi Mdogo au bila usimamizi na kuleta matokeo mazuri. Pia nina uwezo wa kuandaa na kusimamia miradi.
Sio lazima Kazi niliyosomea, nahitaji Kazi yoyote ya kipato chochote.
Karibu PM kwa waliotayari kuni support, connect na kuniajiri.
NB: usinitafute kama una mambo mengine tofauti na Kazi.
Mpe mtaji ,mbona huwa mnapenda kurahisisha Sana,naichukia Sana kauli hiiMimi nakushauri jiajiri fungua mradi wowote mfano kufuga au kununua mazao utapata fedha nyingi zaidi
mkuu pisikal iko sahihi kuandika hiyo NB.ila akimaliza miaka 2+ kitaa ndo atakumbuka kumbe ile NB ilikuw ussta duutu[emoji3516]
MKUU,
HIYO NB YAKO HAPO MWISHONI ITAKUKOSESHA MICHONGO-
INAKUFANYA UNA_SOUND ARROGANT.
KUNA WATU WANA ACCESS YA KUKUSHIKA MKONO,
ILA WAKIISOMA HIYO WANAPITA KIMYAKIMYA!!!
HAKUKUWA NA ULAZIMA WA KUIANDIKA HIYO.
NIAMINI MIMI.