Natafuta kazi yoyote, nina BSc. Biotechnology and Laboratory Science

Mab B

Member
Joined
Aug 30, 2017
Posts
13
Reaction score
29
Habarini wakuu mimi ni muhitimu wa BSc. Biotechnology and laboratory science mwaka huu kutoka Sokoine University of Agriculture (SUA).

Natafuta kazi ata nje ya taaluma yangu

Kwa mwenye connection naomba msaada🙏
 
unaweza kufanya kazi gani? zitaje kwa uchache tupate mwanga.
 
Habarini wakuu mimi ni muhitimu wa BSc. Biotechnology and laboratory science mwaka huu kutoka Sokoine University of Agriculture (SUA).

Natafuta kazi ata nje ya taaluma yangu

Kwa mwenye connection naomba msaada🙏
Mkuu ni kweli uatafuta kazi ila tafuta namna ya ku communicate what value you can bring to something you are looking for. Najua ni kijana mwenzangu na una muda mzuri wa kujifunza, naomba uka search au kujifunza how to sell yourself in job interview au how to pitch yourself. Apa lets say ningekua mimi ningeingia mtandao wa linkedin kisha nika search baadhi ya makumpuni ninayo ya fahamu, let say Ifakara Health Institue, au kampuni, kisha ningeangalia potential people who are working there lets say HR, Program Officers, etc then ningechukua email zao au kufanya cold DM nakujieleza what value I can bring to them and if they have spots for my role I can suit it. Lets say sample ingekua hv, Hello XTZ mimi XXX ni muhitimu wa shahada ya bitechnology kutoka chuo xyz. Nina uzoefu wa kufanya kitu XYX ambao niliupata baada ya kufanya field kampuni xyz. Nimeona kampuni lako au lenu kama sehemu bora ya kuendeleza ujuzi wangu katika XYZ , ningependa kujua kama naweza kuwa sehemu ya timu yenu.
 
Nashkuru sana kiongozi umenipa mwanga wanamna ya kufanya nitafata huu ushauri wako, japo kuna kipindi nilijaribu kwa sehemu chache ila sikupata response yeyote. Kwa sasa ntaufata ushauri wako nijaribu kwenda maeneo yenyewe physically na si kwakutuma ujumbe. Asante sana mkuu
 
Mimi sio mwanaphysics ila nasikia kuna ntu akifanikiwa jaribio la 1000
 
Back
Top Bottom