Hapa JF ndipo mahala pa connectionShukran ukiona fursa usisite kunistua
Nakuombea lakini pia naweza kukuchekiHabari wana jF,
Majina: Rashid
Jinsia: Kiume
Mahali ninapoishi: Dar Es Salaam
Natafuta kazi yoyote ya halali nje ya Field yangu ya IT, ili niweze kujikwamua na uchumi.
Nina Uzoefu Sehemu hizi
1. Graphics Designing
2.Data Clerk
3.Photographing
4.Marketing (Digital Marketing)
With Excellent knowledge on computer program kama presentation, Database na Nyingine nying
Nipo tayari kufanya kazi yoyote ninauwezo wa kumaster kazi yoyote kwa Muda mfupi
Natanguliza Shukran
Mawasiliano:
Simu +255 627 225 627
Email: nyamkungarashid@gmail.com
Kabla unasubiri tumia ujuzi wako kutengeneza bidhaa zako na kuwashirikisha wengine kwenye mitandao ya kijamii. Una uwanja mpana wa kujitangaza na ukapata kazi.Shukran ukiona fursa usisite kunistua
Wewe tema mate subiria Kama hayajakukuta yatakuja kukuta yeyote wa karibu yako ili uone anavyoshindwa kujiajiri ili ufahamu ndugu. Kwanza unajua bando saivi likoje na je unajuaje labda Kama anashindia mlo mmoja na smt siku inapita bila ya kuweka kitu tumboni.kama una kompyuta ni ofisi tosha .huwa na jiuliza hivi IT umesoma unashindwa hata kujiajili.
Kwa nini pia usijaribu upwork umeiva jamaaHabari wana jF,
Majina: Rashid
Jinsia: Kiume
Mahali ninapoishi: Dar Es Salaam
Natafuta kazi yoyote ya halali nje ya Field yangu ya IT, ili niweze kujikwamua na uchumi.
Nina Uzoefu Sehemu hizi
1. Graphics Designing
2.Data Clerk
3.Photographing
4.Marketing (Digital Marketing)
With Excellent knowledge on computer program kama presentation, Database na Nyingine nying
Nipo tayari kufanya kazi yoyote ninauwezo wa kumaster kazi yoyote kwa Muda mfupi
Natanguliza Shukran
Mawasiliano:
Simu +255 627 225 627
Email: nyamkungarashid@gmail.com
Profile yako ikoje + unaandikaje proposal zako + bid + una apply kazi gani?Nishajaribu chief