mwakavuta
Member
- Sep 22, 2020
- 99
- 306
Wakuu salam,
Mimi ni mhitimu wa chuo mwalimu wa sekondari kutokana na uhaba wa ajira nafanya Kazi za ujenzi kama kibarua. Nashukuru angalau sikosi chochote nimeridhika na Kazi ninayofanya ingawa kipato hakitoshi sana.
Naomba mwenye connection anayeweza kunisaidia kupata kazi yoyote ya usiku ya halali niongeze kipato.
Kuhusu uwezo wa kufanya kazi sina wasiwasi najiamini naweza kufanya kwa weledi na uadilifu MKUBWA.
nipo dar es salaam