Habari wakuu, kwa yeyote anayehitaji dada wa kazi ambae ni mchapakazi na anawajibika katika kazi zake, nipo hapa.
Nina uzoefu wa miaka 3 katika U-house girl.
Endapo utapenda nije kufanya kazi na kuondoka, au kulala kwa mwajiri niko tayari.
Mshahara ni maelewano,.....
Ukiridhia nami, ni Pm.
Asanteni,
Madame B
Hujasema upo wapi, inawezekana ukawa Iringa ukafanya kazi Dar na kurudi!!!
Habari wakuu, kwa yeyote anayehitaji dada wa kazi ambae ni mchapakazi na anawajibika katika kazi zake, nipo hapa.
Nina uzoefu wa miaka 3 katika U-house girl.
Endapo utapenda nije kufanya kazi na kuondoka, au kulala kwa mwajiri niko tayari.
Mshahara ni maelewano,.....
Ukiridhia nami, ni Pm.
Asanteni,
Madame B
Habari wakuu, kwa yeyote anayehitaji dada wa kazi ambae ni mchapakazi na anawajibika katika kazi zake, nipo hapa.
Nina uzoefu wa miaka 3 katika U-house girl.
Endapo utapenda nije kufanya kazi na kuondoka, au kulala kwa mwajiri niko tayari.
Mshahara ni maelewano,.....
Ukiridhia nami, ni Pm.
Asanteni,
Madame B
Ha ha ha ha, MamaBeata njoo huku.
Madame unataka akina mama tujitwishe gunia la misumari? Hg anakarangiza chai kama Maya wa tamthilia?
Mwenzangu house girl mjuaji mno hapana. Ni heri awe mshamba kidogo. Mjanja asije kunitoa jasho.
huyo mshamba ndiyo majanga, faza hausi lazimaatataka kuonja kuku wa kienyeji, nani hapendi supu ya kuku wa kienyeji!! bora lijanja la mjini akiliona halina tofauti na bar maid analipotezea!
Nafikir hujafanikiwa kumquote mlengwa,
Weka picha yako ya mwonekano wako nyuma na mbele tuone ikiwa una sifa.Habari wakuu, kwa yeyote anayehitaji dada wa kazi ambae ni mchapakazi na anawajibika katika kazi zake, nipo hapa.