Natafuta kazi za ndani

jamani ni makubaliano tu inaweza kupungua ullitaka unilipe ngapi kwa upande wako
 
vHaya karibu tudiscuss dada, mimi niko na nyumba, sijaoa naishi mimi na mdogo wangu wa kiume tu, kazi sio nyingi saana. Kama vipi tunaweza discuss hii issue. ASANTE
 
kila kitu cha anza na mazungumzo na maakubaliano we can talk inategemea kazi zenyew na ukubwa use that namba tunaweza kufikia lengo naitaji sana kazi asante
 
Mimi familia yangu ndogo tu na hamna kazi nyingi ila kuna mtoto mchanga na mshahara ni 50,000/= tunaweza kuongea biashara?
 
Nahitaji sana msaidizi home; viwango ulivoyoweka sina vibaya sana ila naogopa hio attitude yako; maandishi na uchaguzi wako wa maneno sio staili ambayo ningependa kupokelewa nayo nyumbani KWANGU
 


TAHADHARI:
Huyo mwanamke mzungu ni wa kuwa naye makini. Kuna mabalaa ambayo watanzania tuna ugeni nayo na ipo siku yatatuweka pabaya. Mmewahi kusikia juu ya HUMAN TRAFFICKING? Kwa yeyote mwenye kufikiria kuungana na huyo mama kwa namna yeyote ni vyema akawasiliana na ubalozi wa kwao kupata uhakika na anayoyasema.
 
Jamani kama kuna anaeweza kumsaidia huyo bint kazi hata yakufagia ofisini atafanya mambo yakumpa kazi nyumbani sija yapenda.... shosti omba msaada wa kazi za offisini lakini nyumbani na ma boss wenyewe hawa wa dot com....
 
sana na mimi huwa naogopa sana wengi wana manyayaso
 
dada huwezi amini nimeangaika sana na hapa yenyew nomba huku naogopa najua unaweza kukuta hata mtu unaanza kusumbuliwa mwishowe nikapatwa na usumbufu wa mabos wenyew mmmmmmmh nawaza sana nimechoka nimeona bora tu nifanye siwez kukaa tena bila kazi
 
lakini dada yangu hebu angalia zoomtanzania.com unaweza pata maana mi sina familia kwahiyo siwezi fikiriwa hata kdg halafu umri nakuzidi kidogo sana naweza jikuta nimeoa moja kwa moja kama ukinipendeza halafu wana mmu wakanisema maana wanapinga haooo
 
nimejaribu sana kuomba najikuta nikioba na kosa ni mda sas natafuta nakosa
 
namnyak mpendwa...

Samahani kama ntakukwaza.
Una mpenzi/mchumba?
Huna mpango wowote wa kujiendeleza kielimu?
Hapa Dar unaishi kwa nani?
Ulishawahi kufanya kazi za ndani kwa mtu? kama ndiyo, ilikuwaje ukaacha?
Uko tayari kufanya kazi nje ya Dar hata iwe kijijini?
Zaidi ya kazi za ndani hutaki kazi nyingine kama kuuza dukani/bar etc
Huna ndugu wa kukupa mtaji kujianzisha kabishara kako hata ka genge kwa kuanzia?

Nakuonea huruma ndio maana nimekuuliza hayo, labda majibu yako yanaweza kukusaidia.
Ahsante na Mungu akubariki.
 
Reactions: BAK
Msaidieni huyo kupata kazi za maofisini. Nawaonya kumpa kazi za nyumbani, kwani mtakuja kujuta. Anaweza pia kujiunga na makampuni ya ulinzi kwani mengi yanahitaji mtu kama yeye kwa kuwa anajua English. Mbona nawaona wasichana wengi warembo wameajiriwa huko (Security Group) na wanawapangia kazi rahisi tu!! Jaribu huko mdada, usije ukawa nyumba ndogo kwenye majumba ya watu bure!!!
 
kiukweli hilo ndo naogopa sana ngoja nijaribu asante
 
Na hapa ndipo najiuliza mfumo wetu wa elimu unatusaidiaje kujikwamua na ugumu wa maisha km form 4 leaver tu anataka kuwa housgal? Iko wapi ile elimu ya kujitegemea ya enzi za mwalimu? I wish i cud help...
 
Reactions: BAK
kiukweli hilo ndo naogopa sana ngoja nijaribu asante
Huyu dada uwezo wake wa kujieleza na kujenga hoja ni mkubwa sana. pia ana uwezo mkubwa sana wa kufanya risk analysis.Na mimi binafsi ningependa sana kufanya naye kazi maana siyo rahisi matapeli wa dar kuingia nyumba/biashara aliyokabidhiwa yeye lakini nimefuatilia huku jamvini amejiunga juzi 13/11/2011, pia taarifa zake alizozitoa wakati wa kujisajili zinaniogopesha sana. moja hakupenda kutumia jina lake halisi. pili hata mwaka aliozaliwa ameficha akadanganya amezaliwa 1903.taarifa nyingine zote muhimu ameficha huo uoga anaouonyesha hapo juu utatoka wapi kama haogopi kutoa taarifa potofu kama hizo? naomba mniondoe wasiwasi katika hayo.
 
ukweli mtu na uhalisia wake na ubinadamu wake uko ndani ya mtu ni vigumu sana binadamu kumjua binadamu mwenzake isipokuwa Mungu peke yake ndo anaweza kujua moyo wa mtu sitashangaaa sana ukisema hivyo ndugu yang ila tu cha msingi mwenyekuitaji manyakazi atasema kawaida dunia huwa haina usawa asante kazi njema za kulijenga taifa letu la tanzania.
 

Please go direct to the point!!!. If some body questions your credibility and you want to clear your self just give your detailed CV. hapo ndipo mtu anaweza kuanzia uchunguzi wake na akishaondoa mashaka yake mara moja uta pata ajira. hili suala la oooo mungu ananijua halisaidii mimi nimekueleza maeneo yanayotia shaka. wewe yatolee ufafanuzi wala isiilaumu dunia kuwa haina usawa usawa upo sana na ndiyo maana hakuna hata mtu mmoja kazaliwa na nguo. tusaidie nasi tukusaidie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…