Please go direct to the point!!!. If some body questions your credibility and you want to clear your self just give your detailed CV. hapo ndipo mtu anaweza kuanzia uchunguzi wake na akishaondoa mashaka yake mara moja uta pata ajira. hili suala la oooo mungu ananijua halisaidii mimi nimekueleza maeneo yanayotia shaka. wewe yatolee ufafanuzi wala isiilaumu dunia kuwa haina usawa usawa upo sana na ndiyo maana hakuna hata mtu mmoja kazaliwa na nguo. tusaidie nasi tukusaidie.
Habari za saizi
Natafuta kazi za ndani mim ni msichana mwemye umri wa miaka 23 nimemaliza form four mwaka 2004 natafuta kazi za ndani awe ni mkazi wa dar awe tayari kunilipa 70-80 kwa mwezi si chini ya hapo familia ya kikristo yenye upendo na amani asiwe mtu wa kunyayasa bali mwenye upendo na mwajiriwa ili niweze kufanya kazi wa umakini zaidi awe na mkataba wa kazi namba ni 0657018209 nia ujuzi na pia nafanya kazi zangu kwa umakini na uaminifu na kumfanya mwajiriwa asiwe na wasiwasi awapo kazini nina uelewa wa nini ninachokifanya pia nina ujuzi wa kufanya ya house keep kwa miaka mingi sasa .
Naomba wadau pia mnisaidie kutafuta nafasi hiiiiiiiiiiiiii.
Asanteni sana mtu yeyeote asisite kuwasiliana nami kwa namba hiziiiiiiii 0657018209
Sawa ongeza taarifa zifuatazo:cv ndo hiyo nimeshatoa jaman nimemaliza form our mwaka 2004 nkawa nafanya kazi za kawaida tu za duka zaa ndani hata za stationary lakini sina spee san ya kuchapa sas sijui kama nimekujibu ndugu asante
Aisee iweje ukose kazi wakati jina lako linadhirisha baraka? hebu ni Pm tuone itakavyokuwa
ukweli mtu na uhalisia wake na ubinadamu wake uko ndani ya mtu ni vigumu sana binadamu kumjua binadamu mwenzake isipokuwa Mungu peke yake ndo anaweza kujua moyo wa mtu sitashangaaa sana ukisema hivyo ndugu yang ila tu cha msingi mwenyekuitaji manyakazi atasema kawaida dunia huwa haina usawa asante kazi njema za kulijenga taifa letu la tanzania.
Sawa ongeza taarifa zifuatazo:Pia kama una wadhamini wanaoaminika nifahamishe.
- shule gani na ulisoma masomo gani.
- kuuza duka la aina gani , wapi na kwa kipindi gani.
- stationary wapi na kwa kipindi gani.sula la speed siyo issue kwangu.
- Uwe tayari kuingia mkataba mrefu.
nakaa kwako hiyo ni kazi kama kazi zingine jamani
Habari za saizi
Natafuta kazi za ndani mim ni msichana mwemye umri wa miaka 23 nimemaliza form four mwaka 2004 natafuta kazi za ndani awe ni mkazi wa dar awe tayari kunilipa 70-80 kwa mwezi si chini ya hapo familia ya kikristo yenye upendo na amani asiwe mtu wa kunyayasa bali mwenye upendo na mwajiriwa ili niweze kufanya kazi wa umakini zaidi awe na mkataba wa kazi namba ni 0657018209 nia ujuzi na pia nafanya kazi zangu kwa umakini na uaminifu na kumfanya mwajiriwa asiwe na wasiwasi awapo kazini nina uelewa wa nini ninachokifanya pia nina ujuzi wa kufanya ya house keep kwa miaka mingi sasa .
Naomba wadau pia mnisaidie kutafuta nafasi hiiiiiiiiiiiiii.
Asanteni sana mtu yeyeote asisite kuwasiliana nami kwa namba hiziiiiiiii 0657018209
Kulingana na taratibu za ajira (waraka wa serikali) zilizotolewa na Wizara ya kazi miaka kadhaa iliyopita, ilianishwa kuwa mfanaya kazi wa ndani anayekaa kwake (anakuja na kurudi) mshahara ni 80,000, lakini kama anakaa kwa mwajiri atalipwa sh. 25,000. Hii ni kwa sababu kwa mwajiri atapata mahitaji yote muhimu.kwa hiyo unataka nilipwe eflu kumi kwa kuwa nakaa kwa mwajiri ?