Natafuta kazi za viwandani au ufundi

Natafuta kazi za viwandani au ufundi

Yuroo yust

Member
Joined
May 14, 2017
Posts
20
Reaction score
33
Hellow guys nimatumain yangu wote wazima na pia tunamshukur mola kutupa mwaka mpya
Jamani mimi natafta kazi ya kufanya iwe n kiwandani iwe n kushusha mizigo au kazi ata ya ufundi.

Nipo tayari naomben kwa yoyote anae faham au kusikia mtu anahitaj mtu wa kufanya kaz anijulishe.

+255755458754 whatsup number.
 
Ulinzi utaweza? Zanzibar
 
Kmpuni ya Geyamo Investment inayofanya kazi na Kampuni ya simu YAS Tanzania inapenda kutangaza nafasi za kazi za usajili wa lain Dar es salaam
Kwa mawasiliano zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa namba 0656775515/0716781637
Ndio naweza naomba tuwasiliane ndugu yangu
 
Back
Top Bottom