Yuroo yust
Member
- May 14, 2017
- 20
- 33
Ulinzi utaweza? ZanzibarHellow guys nimatumain yangu wote wazima na pia tunamshukur mola kutupa mwaka mpya
Jamani mimi natafta kazi ya kufanya iwe n kiwandani iwe n kushusha mizigo au kazi ata ya ufundi.
Nipo tayari naomben kwa yoyote anae faham au kusikia mtu anahitaj mtu wa kufanya kaz anijulishe.
+255755458754 whatsup number.
Shngp kwa mweZUlinzi utaweza? Zanzibar
200 kuna kampuni inalipa 300 ila lazima ufanye mafunzo wiki 2 ndo upewe mkatabaShngp kwa mweZ
Ndio naweza naomba tuwasiliane ndugu yanguUlinzi utaweza? Zanzibar
Na pia namba yangu ya whatsup ipo hapo mkuuUlinzi utaweza? Zanzibar
Ndio naweza naomba tuwasiliane ndugu yangu
Nichek inbox nakupigiaNdio naweza naomba tuwasiliane ndugu yangu
0628731833Na pia namba yangu ya whatsup ipo hapo mkuu
nakupigia hupokei mkuu whatsup pia upo kimya sms za kawaida pia hujib chochoteNicheki
0628731833
nakupigia hupokei mkuu whatsup pia upo kimya sms za kawaida pia hujib chochote
shukuran mkuu ila kasema now pako full ila ikitokea nafasi atanipigiaNina muda kidogo sijakuwa karibu na simu mazingira niliyopo na nature ya kazi hairuhus kukatikan kwa wakati. Lakin nimekucheki right?
Pako full wapi hapo kwa laki 2 au pa laki 3?shukuran mkuu ila kasema now pako full ila ikitokea nafasi atanipigia
laki 2 mkuu ile ya laki 3 alitoa ufafanuzi kama ulivyo nishaur mda ule temeongea kwaio ndo ivyoPako full wapi hapo kwa laki 2 au pa laki 3?
Kuna kampuni inalipa 180 uko tayari?laki 2 mkuu ile ya laki 3 alitoa ufafanuzi kama ulivyo nishaur mda ule temeongea kwaio ndo ivyo