T tolo33 New Member Joined Mar 10, 2025 Posts 1 Reaction score 2 Mar 11, 2025 #1 Natafuta kazi za viwandani ,mgodini au zingine zinazoendana na taaluma ya chemistry ni mhitimu wa Shahada ya sayansi katika chemistry na Biology ( Bachelor of science) popote nafanya kazi Tanzania au hata nje ya Tanzania
Natafuta kazi za viwandani ,mgodini au zingine zinazoendana na taaluma ya chemistry ni mhitimu wa Shahada ya sayansi katika chemistry na Biology ( Bachelor of science) popote nafanya kazi Tanzania au hata nje ya Tanzania