Kijana jaribu kuwa specific ni wapi umespecialize au ni wapi unafikiri unaconfidence u can do something coz unaonekana ni graduate 'tusameheane endapo nitakuwa nimekudhania vibaya' na hivyo vitu ulivyooutline ni vitu vinene ambavyo unaweza ukacommand mils kadhaa na watu "interviewer"wasikushangae. Usije weka tu kwenye CV kama tulivyozoea ukaanza kutoa macho kwenye usaili mara ooh! tulisoma chuo lakini sijavifanyia kazi ukaanza kutoa ahadi ya kuvifanyia kazi.
Karibu kwenye soko la ajira la bongo baba, kaza mkwiji utawini lakini subra inahitajika.
Ahsante.