Natafuta kazi

kavishe

Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
5
Reaction score
0
mimi kwa jina Naitwa Arnold Kavishe, nimehitimu International Diploma in Computer Engineering, katika chuo cha New Horizons. ningependa kupata kazi ya IT TECHNICIAN!
naomba msaada wako tafadhali!
 
ungeweka pale jukwaa la kazi na ajira ingeweza kuwa msaada zaidi.

Btw, unatafuta kazi ya kuajiriwa au kompyuta zetu zikigoma kazi ndio tukutafute?
 
Ushauri wa bure:
Una elimu nzuri sana na nakupongeza kwa kiwango ulichofikia. Kiwango hicho cha elimu kina soko kubwa kwa kuajiriwa au kujiajiri.
Wakati unatafuta ajira uwe wajishughulisha kwanza na kujiajiri mwenyewe kutokana na ufundi wako. Waweza weka tangazo lako dogo hapa uwe unakarabati computer zenye vimelea vinavyosumbua na wakishakujaza msosi kidogo nunua walao Computer kama tatu hivi kuwa cafe yako na hapo utashangaa kuona huna haja ya kutafuta ajira ila kukuza kampuni yako. Hapo akili yako itaibua mengi.
 
Haya mkuu nikisikia taaluma yako inahitajika nitakushtua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…