Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana Jf kama kuna mtu anatafuta mfanyakazi wa Radio&Tv naombeni msaada wenu! Nina vipindi vingi sana vya redio na Tv vilivyobase sana kwenye business na kwamba tunaweza kufanya mambo mazuri! Naomba ajira yako! ni MP!