Natafuta kazi

Natafuta kazi

ericmoja

Member
Joined
Jun 7, 2010
Posts
5
Reaction score
0
I am Erick living in dar mi nimesomea IT Certificate nasaivi namalizia diploma mwaka huu but naliwai kufanya kazi last year miezi 9 hivi on ISP company on a networking na cutomer support departments.and also i have experiance on computer hardware and software,If there is any chance on temporary au permanent job please call/sms me 0714121285 or e.mail seanchief2008@yahoo.com
 
Tumia lugha ya heshima kwa wakubwa zako. Waajiri wako humu humu lakini hakuna ambaye atakuwa tayari kumuajiri mtu mwenye lugha za kihuni. Acha usela
 
Back
Top Bottom