Mimi ni mwanaume wa miaka 37,mwenye mke na mtoto 1,nimesoma mambo ya hotel bismack miaka ya 99 to 00,ni mtaalamu wa vinywaji(bartender) nimeupata pale masaki gardenbistro kwa miaka 7,najua kutengeneza coctail na nan alcohol coctail,. Naweza kufanya kazi katika club,pub na restaurant, pls if any one know or need,iam here for u... ..contc.0787549495...0713549495.asante.
natafuta kazi ya p/secretary -eneo la arusha
mimi ni mwanamke wa umri wa miaka 35 nimemaliza form vi na kuchukua full secretarial(tpsc) tanzania public sevice college chuo cha uhazili magogoni. Nina uzoefu na kazi hii 10yrs nime act administration na ku succesiful vyema ninauwezo wakuongoza na kufanya kazi zote za administration pia nimesoma accounta nafanya vyema.naomba yeyote mwenye kujua anayeitaji anisaidie asanteni
jinsi ya kunipata:
0754- 597156
0658- 597156