Natafuta kazi

Natafuta kazi

Daty

Senior Member
Joined
Jul 1, 2011
Posts
126
Reaction score
13
Jaman wana jf natafuta kazi elimu yangu ni diploma ya marketing management. Sina uwezo wa kuendelea
 
Daty uko wapi nione jinsi ya kukusaidia. Kwa taaluma yako unaweza kupata hata kibarua cha kutoa ushauri kwa wajasiriamali. Pia kimsingi ni watu wachache wanaopata mitaji nyumbani kwao. Mitaji inatafutwa na inapatikana. Naona tatizo letu wa Tz ni kwamba tumeelekeza akili yetu kwenye kuajiriwa na siyo kujiajiri na kuwaajiri wengine. Kuajiriwa sawa lakini ebu tufikirie upande wa pili; kujiajiri na ebu tuthubutu kukabiliana changamoto za kujiajiri. Nitafute Daty tushauriane fursa zipo. Asanteni
 
Nipo dodoma. Nichek kwa emal hii naikannah@yahoo.com
 
Nitakupataje? Nichek kwenye email naikannah@yahoo.com
 
Back
Top Bottom