Daty uko wapi nione jinsi ya kukusaidia. Kwa taaluma yako unaweza kupata hata kibarua cha kutoa ushauri kwa wajasiriamali. Pia kimsingi ni watu wachache wanaopata mitaji nyumbani kwao. Mitaji inatafutwa na inapatikana. Naona tatizo letu wa Tz ni kwamba tumeelekeza akili yetu kwenye kuajiriwa na siyo kujiajiri na kuwaajiri wengine. Kuajiriwa sawa lakini ebu tufikirie upande wa pili; kujiajiri na ebu tuthubutu kukabiliana changamoto za kujiajiri. Nitafute Daty tushauriane fursa zipo. Asanteni